TIMU ya Yanga SC leo imefanya kufuru baada ya kuishushia kichapo cha bao 7-0 timu ya Komorozine ya Comoro kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika iliyopigwa Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam!
Mabao ya Yanga yamewekwa kimiani na Mrisho Ngassa dakika 13, 65 na 68, Didier Kavumbagu dakika ya 58 na 81, Nadir Cannavaro dakika ya 20 na Hamis Kiiza aliyefunga dakika ya 59.
0 comments:
Post a Comment