Sunday, February 9, 2014


Wachezaji wa Mgambo Shooting wakifurahia ushindi wao wa bao 1-0 dhidi ya Simba.
Patashika wakati wa mtanange huo kati ya Simba na Mgambo Shooting Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
TIMU ya Simba SC leo imepokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Mgambo Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Bara iliyopigwa Uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga. Bao la Mgambo limewekwa kimiani na Fully Maganga.

0 comments:

Post a Comment