Saturday, February 8, 2014


Dk Christian wa Mwananyamala akiangusha sebene jukwaani.
Toto ze Bingwa akimpa sapoti Dk Christiani.
Mkurugenzi wa B Bendi Banana Zor (Kulia) akiwa na Stevene Nyerere.
Banana akiimba na wanamuziki wake.
Mashabiki wa B Bendi wakiserebuka.
Katika onyesho la bendi ya Malaika lililofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Mango Garden uliopo Mwananyamala Daktari mmoja wa Meno wa Hospitali ya Mwananyamala aliye fahamika kwa jina la Dk Christian alionyesha kuwa yeye sio bingwa wa kungoa meno tu bali hata kurap Kidongo baada ya kuvamia jukwaa na kuanza kuimba na Kurap.
                           (PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY/GPL)

0 comments:

Post a Comment